Saturday, April 25, 2020

MASHINE YA KUBANA SILD ZA MAKOPO YA BIDHAA ZA MAFUTA NA LOTION - Gawaza ...





HOT AIR GUN

Ni mashine maalumu kwa ajili ya kuweke sild za makopo ya bidhaa kama vile mafuta, maji, juice na bidhaa nyingne.

Mashine hizo zipo aina nyng, Kuna kubwa na ndogo

BEI ZETU KWA UJUMLA.

Mashine kubwa
Bei yake ni elfu tisini na tano ( 95,000 tsh)

Mashine ndogo ni elfu sabini na tano ( 75,000 tsh).

KWA ANAYE HITAJI.

Kwa walio dar es salaam aje hapa Tabata Mwanannchi - mandela road.

Kwa walio mikono. Mashine zitatumwa kwa njia ya mabasi.

0684-863138
0718-567689

Jina. Mohammed Gawaza.

#Karbuni

0 comments:

Post a Comment