Tuesday, April 14, 2020

TUMEFIKISHA SUBSCRIBERS 15,100+ ASANTENI SANA - Gawaza Brain -DSM TABATA.





Mpaka sasa tumefikisha subsibers si chini ya 15000 kupitia mtandao wa youtube , ombi langu ni kwamba mm n kijana wenu napambana kuwafundisha kile ninacho kijua kuhusu ujasiriamali,

shukran sana kwa wote walio subscribe kwa youtube yetu, na kazi kubwa inakuja sichoki bado nipo mpka kieleweke, video zinaendelea kuja hakuna kuacha wala hakuna kuchoka.

CC : @Gawaza_brain "Kazi yetu kuelimisha" EMAIL : mgawaza12@gmail.com PHONE : 0684-863138 l 0718-567689. ©2020 .

#GawazaBrain #YoungLeader




0 comments:

Post a Comment