Monday, April 27, 2020

JINSI ya kutengeneza SABUNI ya TIBA ya MANJANO - Gawaza Brain - 0684 863138











MALIGHAFI ZITUMIKAZO KATIKA SABUNI YA KIPANDE YA TIBA.


( MEDICATED BAR SOAP )

1. Caustic Soda
2. Sodium silicate
3. Gylcerine
4. Mafuta ( mise, mawese, mbosaa, mnyonyo)
5. Pafyumu
6. Tiba ( Habat sauda, Nyonyo, mwarobaini, Aloe vera, black seed)
.
CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2020.
.
#Gawaza Brain
#Young Leader

0 comments:

Post a Comment