Sunday, April 5, 2020

TUJIFUNZE PAMOJA - mafunzo mwezi 4 yataanza tarehe 7 mpka tareh 13.





M A F U N Z O Y A

U J A S I R I A M A L I

Kumbuka ! Thamani yako ! Maarifa yako ! Uchumi wako ! Mafanikio yako !

Karibuni sana wajasiriamali wote, na sio ya kukosa kwa wenye nia.

MASOMO YATAANZA tarehe 07 - 04 - 2020 mpaka tarehe 13 - 04 - 2020.
.
kwa wote watakao kuwa tayari kujiunga naomba tuwasiliane nami.

Mohammed gawaza
0684 863138
whtsp


Youtube : Gawaza Brain
instagram : Gawaza_Brain

MUDA WA MAFUNZO

Mafunzo yatakuwa ndani ya wiki moja tu.

kuanzia tarehe 07- 04 - 2020
Mpaka tarehe 13- 04 - 2020

Muda kuanzia saa 1:30 jioni kila siku.

ADA YA MAFUNZO

Masomo yote = elfu 10 (10, 000 tsh),
kitabu kitatolewa bure...

Malipo kwa AIRTEL MONEY
0684-863138
Jina : Mohammed Gawaza

KUMBUKA
Mafunzo yatafanyika Online kwa kutumia WHATSAPP katika group la (ELIKIMA)

Masomo yatakayofundishwa 32

UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI

VIDEO ZITATOLEWA👇

01 -Sabuni za Unga (Detergent soap)
02 -Sabuni za kipande (Bar soap)
03 -Sabuni za maji (Liquid soap)
04 -Sabuni za magadi (Bar soap sodash)
05 -Sabuni za mikono (Hand wash)
06 - Sabuni za chooni( Toilet cleaner)
07 -Sabuni za nywele (Hair shampoo)
08 -Sabuni za tiba (Medicated soap)
09 -Sabuni za kuogea (Shower gel)
10 -Sabuni za kazi (Multipurpose soap)
11 - Mafuta ya mgando (Petroleum gel)
13 -Mafunzo ya batiki (Clothes style)
14 -Dawa ya madoa (Jiki)
15. Sabuni ya mikono (Hand Sanitizer)


Na masomo ya ziada (BILA VIDEO).

15 - Aina 3 za lotion
16 - Utengenezaji wa mishumaa.
17 - Utengenezaji wa chaki.
18- kusajili kampuni
19 -kusajili bidhaa Tbs na Tfda.
20 - Kujiajiri katika biashara.
21- Utengenezaji wa chill sauce.
22. Karanga za mayai.
23. Ubuyu wa zanzibar.
25. Biskuti za tangawizi
26. Biskuti za mayai.
27. Airfresh na Windows cleaner.
28. Majani ya chai ( chai hai).
29. Unga wa lishe.
30. Bagia za dengu na Utengenezaji wa chrisps.


Kwa yeyote ambae yu tayari kujiunga na haya mafunzo anipe taarifa zake kupitia whtsapp yang 0684-863138

#Karibu sana

.
.
#Gawaza Brain
#Young Entreprenuer



.

0 comments:

Post a Comment