Mafuta ya mgando hutengenezwa kwa vitu si chini ya 4 vya kawaida kabisa.
1. microwax
2. white oil
3. pafuyumu na
4. rangi
kwa hivi tu, unaweza kuutengeneza Mafuta ya Mgando na yakawa mazuir bil shida yeyote,
#GawazaBrain #MafutaYaMgando
...
Tuesday, December 31, 2019
Sunday, December 29, 2019
KITABU CHA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KINAUZWA - 0684 863138
*VITABU VYOTE VINAVYO TOLEWA NA KUSAMBAZA NA GAWAZA BRAIN CO LTD*
Gawaza Brain Co ina dili na Utoaji Mafunzo na Maarifa kuhusu Ujasiriamali na Uchumi.
Vitabu na bei zake.
*1. MJASIRIAMALI MBUNIFU.*
Hiki ni soft copy, kina kurasa 75, kina Mb 4.5 na kinapatikana kwa wenye whtsp, emai na telegram.
.
.
Bei yake : Elfu saba ( 7, 000 tsh)
Mwaka...
Saturday, December 28, 2019
SHAMPOO YA NYWELE | full video - Gawaza Brain | 0684-863138
Leo tuwe pamoja, na nitafundish jinsi ya kutengeneza Sabuni kwa ajili ya kuoshe ya nywele. Sasa kwa kina kabisa nitazungumzia malighafi zinazotumika katika mchakato wake.
1. Salphonic acid
2. Slec / unga rol
3. Soda ash ligh
4. Glycerine
5. CDE
6. Chumvi ya mawe /SOdium salphate
7. pafyum na rangi na
8. centrimide
#GawazaBrain #ShampooMaking...
Friday, December 27, 2019
FAHAMU : UJUZI KUHUSU UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA MGANDO 2
MALIGHFI ZAKE
1. Mcrowax
2. white oil
3. pafyumu na rangi na
4. tiba yako
#GawazaBraib #MafutaYaMgando.
...
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI | full vide0 | Gawaza Brain
leo tujifunze kwa umakini jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji.
malighf zinzotumika kutengenezea ni
1. sulphonic acdi
2. slec
3. soda ash light
4. glycerine na CDE
5. rangi na pafyumu
6. chumvi na formaline...
Wednesday, December 25, 2019
SABUNI YA KIPANDE : Jinsi ya kumimina UJi wa SABUNI katika MOULD.
Karibuni sana katika makala ya gawaza brain
leo nitazunguzmia jinsi ya kutengeneza sabuni ya kipande,
KWA kujifunza zaidi tuwasiliane lwa
0718-567689
0684-863138
nitakutajia mlighfi ambazo zinatumika katika kutengeneza sabuni ya kipande.
1, caustic soda
2. mafuta yenye sifa ya kuganda
3. sodium silicat
4. glycerine
5. RANGI NA pAFYUMU
KARIBUNI...
SABUNI ZA KIPANDE - Ubora na ufanisi wa hali ya juu
Karibuni sana katika kmakala ta gawaza brain
leo nitazunguzmia jinsi ya kutengeneza sabuni ya kipande,
KWA kujifunza zaidi tuwasiliane lwa
0718-567689
0684-863138
nitakutajia mlighfi ambazo zinatumika katika kutengeneza sabuni ya kipande.
1, caustic soda
2. mafuta yenye sifa ya kuganda
3. sodium silicat
4. glycerine
5. RANGI NA pAFYUMU
KARIBUNI...
JIFUNZE : JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI AINA ZOTE - Tabata - 0684 863138
Leo nita wafundisha jinsi ya kutengeneza Batiki kwa kutumia njia ya video , sema sita maloiza kila kitu hap Zaidi ya hapa, utakitafuta kitabu cha UTENGENEZAJI WA BATIKI, CHAKI na MISHUMAA.
maligfhafi kwa ajili batiki
1. Rangi
2. Caustic soda
3. Sodium hydrosalphate
4. kitmbaa na Kamaba
karbuni sana
#GawazaBrain #JinsiYaKutengenezaBatiki
...
JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI ( Tie and Die ) - kitambaa kizuri | 0684-863138
Leo nita wafundisha jinsi ya kutengeneza Batiki kwa kutumia njia ya video , sema sita maloiza kila kitu hap Zaidi ya hapa, utakitafuta kitabu cha UTENGENEZAJI WA BATIKI, CHAKI na MISHUMAA.
maligfhafi kwa ajili batiki
1. Rangi
2. Caustic soda
3. Sodium hydrosalphate
4. kitmbaa na Kamaba
karbuni sana
#GawazaBrain #JinsiYaKutengenezaBatiki
...
Sunday, December 22, 2019
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI - Gawaza Brain
YES karibu sana , sasa kwa leo hii tutajifunza jinsi ya kutengenza sabuni ya magadi.
malighfi zake.
1. caustic soda
2. mafuta yanyo weza kuganda
3. sodium silicate
4. glycerine
5. Rangi...
FAHAMU: Malighafi na Jinsi ya kutengeneza BATIKI aina zote Gawaza Brain
Katika kutengeneza Batiki, Leo nitawatajia vifaa tu. na kesho nitakuweke kabisa video jinsi ya kutengeneza.
1. Caustic soda
2. Sodium hydrosalphate
3. rangi aina unazotaka
4. vitambaa
...
Saturday, December 21, 2019
UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA MGANDO. 1 - Gawaza Brain | 0684-863138
leo aisee nitafundisha jinsi ya kutengeneza mafuta ya mgando.
kwa njia ya rahisi na nyepesi kabisa.
0718-567689
0684-863138 Unaweza ukanitafuta kwa namba zangu hizi za simu,
malighfi zitumikazo kutengeneza mafuta ya mgando, ni
1. Micro ctstalline wax
2. White oli
3. Pafyumu na Rangi
karbu sana, tukufundishe kwa whtsp.
#GawazaBrain #MafutaYa...
Friday, December 20, 2019
MASHINE IMARA ZA KUTENGENEZA CRISPS NA TAMBI - Gawaza Brain
MASHINE ZA TAMBI na MASHINE ZA CRISPS
leo nitakufahmisha mashine zote zinzotumika katika kutengeneza Tambi NA mashine za crisp na gharama zake.
Mashine ya Tambi ...35,000/ tsh
Mashine ya crisp 25,000/ tsh
kwa yeyote anayehitaji, namba zangu
0718-567689
0684-863138
#GawazaBrain #MashineZaTambiNaMashineZaCrisps
...
UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA MGANDO - Gawaza Brain
Mohammed Gawaza as normal today i want to teach you on how you can produce Petroleum Jelly
( Naitwa mohammed gawaza Sasa l;eonataka nikufundishe jinsi ya kutengeneza Mafuta ya mgando.
video zote zipo kupitia youtube yangu,
namba zangu za simu
0684-863138
0718-567689
MALIGHAFI ZINAZOTUMIKA KATIKA KUTENGENEZA MASFUTA YA MGANDO.
1. Miceo wax
2....
Thursday, December 19, 2019
KITABU KUHUSU KUJIFUNZA BATIKI, CHAKI na MISHUMAA.
BATIKI, CHAKI na MISHUMAA.
hiki nacho ni soft copy, kina kurasa 50, kina MB 3.0, kina fundisha Jinsi ya kutengeneza Chaki, batiki na Mishumaa Tu.
Ni kwa wenyee email, whtsap na telegram.
.
Bei : Elfu tano. (5000 tsh ).
Mwaka : Decemba...
KITABU CHA KIJASIRIAMALI - MWONGOZO KWA WAJASIRIAMALI. ( KUHUSU SABUNI AINA ZOTE, BATIKI, CHAKI NA MISHUMAA) - 0684 863138
MWONGOZO KWA WAJASIRIAMALI.
Hiki ni soft copy, kina MB 5.0 kina husika na masomo yote, Sabuni, chaki, Mafuta, Batiki na mishumaa. Watakaokipata ni wale wenye whtsap, email na telegram.
Bei : Elfu kumi (10, 000 tsh).
.
.
Mwaka : Novemba...
KITABU KUHUSU KUJIFUNZA KUTENGENEZA UNGA LISHE NA CHAI HAI.

UNGA LISHE NA CHAI HAI.
Hiki ni soft copy, kina kurasa 30 n kina MB 1.5 kinatumwa kwa walio na whtsap, email na telegram.
.
.
Bei yake : Elfu nne ( 4, 000 tsh)
Mwaka : March , 2019.
...
KITABU KUHUSU SABUNI AINA ZOTE - MJASIRIAMALI MBUNIFU.

VITABU VYOTE VINAVYO TOLEWA NA KUSAMBAZA NA GAWAZA BRAIN CO LTD
Gawaza Brain Co ina dili na Utoaji Mafunzo na Maarifa kuhusu Ujasiriamali na Uchumi.
Vitabu na bei zake.
1. MJASIRIAMALI MBUNIFU.
Hiki ni soft copy, kina kurasa 75, kina Mb 4.5 na kinapatikana...
VITABU VYOTE : SABUNI, CHAKI, BATIKI, MISHUMAA, UNGA WA LISHE NA MAJANI YA CHAI.

VITABU VYOTE VINAVYO TOLEWA NA KUSAMBAZA NA GAWAZA BRAIN CO LTD
Gawaza Brain Co ina dili na Utoaji Mafunzo na Maarifa kuhusu Ujasiriamali na Uchumi.
Vitabu na bei zake.
1. MJASIRIAMALI MBUNIFU.
Hiki ni soft copy, kina kurasa 75, kina Mb 4.5 na kinapatikana...
Wednesday, December 18, 2019
Monday, December 16, 2019
MASHINE ZA CRISPS AINA ZOTE ZINAPATIKANA KWANGU - 0684 863138

MASHINE ZA CRISPS
Zipo za aina 2.
a) Mashine Kubwa
Bei yake elfu 25 tsh ( 25, 000/=)
Sifa zake
- Inakata crisps size za aina 8.
- Ina adjastable ambayo inazungusha kisu kupata size.
- Ina regulator kwa ajili ya kuzungusha kisu.
- Ina handle (mkono...
MASHINE YA TAMBI | MASHINE YA CRISPS | MASHINEYA KUFUNGA MIFUKO
MASHINE ZA TAMBI
Zipo za aina nyingi, mimi ninazo aina moja tu.
a) Mashine ya Tambi
Bei yake elfu 35tsh ( 35, 000/=)
Sifa zake
- Inatoa Tambi size za aina nane ( 8).
JINSI YA KUZIPATA NA KULIPIA
Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.
Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya...
VITABU VYOTE VINAVYO TOLEWA NA KUSAMBAZA NA GAWAZA BRAIN CO LTD
VITABU VYOTE VINAVYO TOLEWA NA KUSAMBAZA NA GAWAZA BRAIN CO LTD
Gawaza Brain Co ina dili na Utoaji Mafunzo na Maarifa kuhusu Ujasiriamali na Uchumi.
Vitabu na bei zake.
1. MJASIRIAMALI MBUNIFU.
Hiki ni soft copy, kina kurasa 75, kina Mb 4.5 na kinapatikana kwa...
Sunday, December 15, 2019
JINSI YA KUTENGENEZA SPIRIT ZA HOSPITALINI | Malighafi zote | Gawaza Brain
Leo kwa kina nitakuwekea malighafi ambazo unaweza kuzitumia katika kutengeneza spirit.
majin ya malighafi
1. Methanol
2. Ethanol
3. Distilled water
4. Gentian violet
angalia video yangu, kipindi naelezea kwa ufupi.
...
Saturday, December 14, 2019
IMPULSE SELALER | Mashineya kufunga mifuko ya Bidhaa kama Unga, Ubuyu na...
MASHINE ZA TAMBI
Zipo za aina nyingi, mimi ninazo aina moja tu.
a) Mashine ya Tambi
Bei yake elfu 35tsh ( 35, 000/=)
Sifa zake
- Inatoa Tambi size za aina nane ( 8).
JINSI YA KUZIPATA NA KULIPIA
Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.
Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati...
IMPULSE SELALER | Mashineya kufunga mifuko ya Bidhaa kama Unga, Ubuyu na...
MASHINE ZA TAMBI
Zipo za aina nyingi, mimi ninazo aina moja tu.
a) Mashine ya Tambi
Bei yake elfu 35tsh ( 35, 000/=)
Sifa zake
- Inatoa Tambi size za aina nane ( 8).
JINSI YA KUZIPATA NA KULIPIA
Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.
Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati...
Thursday, December 12, 2019
UCHUMI WA TANZANIA - Mwandishi MOHAMMED GAWAZA
SHUKRAN ZANGU ZIENDE KWENU WOTE, WAJASIRIAMALI
Jina: Mohammed Gawaza
Mzaliwa:Morogoro
Wilaya :Kilombero
Msingi :Mapinduzi MORO
Upili : Msamala Muslim -Songea
Chuo : DIT - dsm
Calls:0718-567689/
0684-863138/
0743-214416/
...
"UTENGENEZAJI WA KIWI" | Dawa ya kung'arisha Viatu | Gawaza Brain
kuna malighafi ambazo zina husik katika kutengeneza kiwi. au dawa ya kung'arisha viatu.
1. bee wax
2. white oil
3. micro wax
4. turprntine
5. charcoal powder
...
JINSI YA KUTENGENEZA KIWI ( shoe polish) - Gawaza Brain
KWA MAHITAJI YA KITABU KIMOJA WAPO HAPO.
Wasiliana na Mwandishi Mohammed Gawaza.
Mawsiliano Yake.
.
.
0684-863138
0718-567689
.
.
KUMBUKA VITABU YYOTE NI SOFT COPY.
..
.
Au fika tabata mwanannchi, kukutana moja kwa moja namimi.
.
CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2019.
.
#Gawaza...
JINSI YA KUTENGENEZA CRISPS ZA CHAKULA ( bites making) - Gawaza Brain
MASHINE ZA CRISPS
Zipo za aina 2.
a) Mashine Kubwa
Bei yake elfu 25 tsh ( 25, 000/=)
Sifa zake
- Inakata crisps size za aina 8.
- Ina adjastable ambayo inazungusha kisu kupata size.
- Ina regulator kwa ajili ya kuzungusha kisu.
- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.
b) Mashine ndogo.
Bei yake elfu 20 Tsh (20,...
Wednesday, December 11, 2019
SABUNI YA KIPANDE YA TIBA.( MEDICATED BAR SOAP )
MALIGHAFI ZITUMIKAZO KATIKA SABUNI YA KIPANDE YA TIBA.
( MEDICATED BAR SOAP )
1. Caustic Soda
2. Sodium silicate
3. Gylcerine
4. Mafuta ( mise, mawese, mbosaa, mnyonyo)
5. Pafyumu
6. Tiba ( Habat sauda, Nyonyo, mwarobaini, Aloe vera, black seed)
.
CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE...
MASHINE ZA KUTENGENEZEA CRISPS | Tabata- DSM | - 0684 863138
MASHINE ZA CRISPS
Zipo za aina 2.
a) Mashine Kubwa
Bei yake elfu 25 tsh ( 25, 000/=)
Sifa zake
- Inakata crisps size za aina 8.
- Ina adjastable ambayo inazungusha kisu kupata size.
- Ina regulator kwa ajili ya kuzungusha kisu.
- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.
b) Mashine ndogo.
Bei yake elfu 20 Tsh (20,...
Saturday, September 14, 2019
Wednesday, September 11, 2019
Sunday, September 8, 2019
Baadhi ya COMMENTS kuhusu - GAWAZA BRAIN | Asanteni sana
CC : @Gawaza_brain
*"Kazi yetu kuelimisha"*
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2019.
.
#Gawaza Brain
#Young Leader
CC : @Gawaza_brain
*"Kazi yetu kuelimisha"*
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138&...
Saturday, September 7, 2019
JIFUNZE : Jinsi ya kutengeneza MAFUTA ya NYWELE | 0684-863138
KWA MAHITAJI YA KUJIFUNZA JINSI YA KUTENGENEZA BIDHAA MOJA WAPO HAPI CHINI.Tuwasiliane 0684-863138 !0718-567689 !0620-320597 !0753-286313 !-Sabuni ya maji-Sabuni ya unga -Sabuni ya kipande-Sabuni ya magadi-Sabuni ya...
Tuesday, August 27, 2019
Monday, August 26, 2019
Saturday, August 24, 2019
Friday, June 21, 2019
Thursday, June 20, 2019
Wednesday, June 19, 2019
Monday, June 3, 2019
Saturday, May 25, 2019
Weka ODA :Shuleni | Hotel | Migahawa | Natengeneza SABUNI za CHOONI
Weka ODA :Shuleni | Hotel | Migahawa | Natengeneza SABUNI za CHO...
Wednesday, May 22, 2019
Utengenezaji wa Shampoo ya Nywele | It was 02-06-2018 | 0684-843138
Hellow ma people leo nataka tujifunze jinsi ya kutengeneza shampoo kwa njia rahisi kabisa ilikuwa ni 2018 maeneo ya magomeni Usalama , Tuilikuwa tunatengeneza sabuni ya kuoshea nywele leo nimekuwekea video hiyo kupitia youtube yangu. Mara moja unaweza ukaiangalia kama upo na muda .
nipigie kama unahitaji mengi zaidi 0718-567689 0684-863...
UKATAJI SABUNI YA MCHE | It was 26-07-18 | 0684-863138 | Gawaza
Hii njia rahisi sana ya mtu anayetaka kukata vipande sabuni ya mche, Anaweza akatumia nji hii popote na kwa aina yeyote ya sabuni ambayo anahita...
LITA #2000 Sabuni za kusafisha sinki | TILES CLEANER | Inst :Gawaza_Brain
Leo wapendwa nilikuwa maeneo ya mbezi mwisho nikitengeneza sabuni ya chooni zaidi ya lita 2000. Unaweza kuangalia video hiyo moja kwa moja kupitia channel yangu ya youtube Nilikuwa kule FOINTAIN OF JOY shule kubwa inayo fundisha vizuri sana hapa d...
CHARLES NDUKU : Mwisho wa siku ya Leo | Ndio mwanzo wa kesho |
Hii hapa karibuni sana kuiangalia katika channel yangu UNAJUA mwisho wa siku ya leo ndio mwanzo wa siku ya kes...
Thursday, May 16, 2019
MASHINE mpya | KUtengeneza TAMBI za kula | Inzuzwa 0684-863138
Hello.
Back to the show na MOHAMMED GAWAZA leo nakuletea mashine mpya kwa ajili ya kutengeneza TAMBI kwa mahitaji yake nipigie ..
0718-567689 0684-863138 0620-320597
Zote ni namba za Mohammed Gawaza
kwa walio mikoani naagiza mpaka huko.
#Gawaza Brain
#Young Entrepren...
MASHINE mpya ya kutengeneza CRISPS | Inauzwa 0684-863138 | Gawaza Brain
HII ni mashine kwa ajili ya matumizi ya kutengeneza crisps kwa ambaye yupo ridhaa anatumiwa popote alipo gharama ni elfu 25 kwa anayehitaji anipigie kwa namba za simu..
0684-863138 0718567689 0620-320597
zote namba zangu MOHAMMED GAWAZA nipigie usjali kwa hilo.
#Gawaza Brain
#Young Entrepren...
NJIA 5 za kutunza CHAKULA | Kisiharibike HARAKA | Inst: Gawaza_brain
karibuni sana, Leo kupitia GAWAZA BRAIN nawaletea njia 5 ambazo unaweza kuzitumia kutunza chakula ili kisiharibike haraka au kwa muda mfupi.
Back to the show. MOhammed gawaza that ma name. Kwa ambao ndio mara ya kwanza kusoma makala zangu basi wasisahau kusubcribe kupitia youtube channel yetu ya kijasiriamali #GAWAZA BRAIN.
Karibuni
#Gawaza brain
#Young...
Jinsi ya Kukata | SABUNI ya MAGADI | 0684-863138 | Inst :Gawaza_Brain
KITABU KINAPATIKANA KWA NJIA ZIFUATAZOKitabu kina masomo ya ujasiriamali, ambayo mara kadhaa mekuwa nikifundisha kupitia youtube na whtsap.Unatumiwa kwa email au whtsap account yako, Soon baada ya k...