Wednesday, July 8, 2020

MAFUTA HAYA YANAFAA kwa kutengenezea : SABUNI YA KIPANDE na MAGADI









MAFUTA GANI YANAFAA KUTENGENEZA SABUNI ZA MCHE?



Kwangu mimi yapo mafuta aina nyingi sana yanayofaa.

Lakin haswa ni mafuta ambayo yana sifa ya kuganda.



Pia ni mafuta ya maua na mafuta ya wanyama yote hufaa.



AINA ZA MAFUTA



1. Mafuta ya mise

2. Mafuta ya mawese

3. Mafuta ya mbossa

5. Mafuta ya nazi.

6. Mafuta ya mnyonyo

7. Castol oil

8. Crude oil





Sabuni ya kipande inatengenezwa na vitu vikuu viwili.

Yani caustic soda na mafuta.



Na hakuna njia nyingine zaidi.  Labda ile ambayo wanasema unatumia Glycerine soap. Huwa hawa husishi na caustic soda na ndio sabuni ambayo inatumia masaa machache kuganda.



Vitu vya ziada,  katika sabuni ya kipande.



- Sodium silicate

- Glycerine

- Salphonic Acid

- CDE


0 comments:

Post a Comment