Wednesday, July 8, 2020

JE unahitaji MASHINE ya : Tambi, Crisps, Mifuko, Heat gun, Milling Mashi...







MASHINE ZA TAMBI ZA DENGU



Zipo za aina nyingi,  mimi ninazo aina moja tu.



 A)  MASHINE YA TAMBI

Bei yake  Elfu thelathini na tano ( 35,000/ tsh)



   Sifa zake

- Inatoa Tambi size za aina nane ( 8).



JINSI YA KUZIPATA NA KULIPIA



Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.

Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo riverside kupitia mandela road.



Mikoani zinatumwa,  huko kwa njia ya basi. Wanalipia kabisa.

Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.



NAMBA ZA MAWASILIANO



0684-863138  !  0753-286313   !  0718 -567689

0 comments:

Post a Comment