Sunday, July 12, 2020

Malighafi za Kutengeneza Batiki Ya Mshumaa - Gawaza Brain - 0684 863138









MALIGHAFI ZITUMIKAZO KUTENGENEZA BATIKI AINA ZOTE



1.  Caustic soda

2.  Sodium hydrosalphate

3. Maji safi

4. Rangi aina mbalimbali za batiki

5. Sponji na maker pen au chaki

6. Meza ya kukunjia vitambaa

7. Vitambaa vyenyewe ( cotton)

8. Parafin wax kwa ajili ya batiki ya mishumaa

8. Kamba za batiki za tie and die.



Kuwa makini. Na mchanganyiko huo vaa mask na gloves unapokuwa una changanya.





CC : @Gawaza_brain

"Kazi yetu kuelimisha"

EMAIL : mgawaza12@gmail.com

PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.

©2020

.

#Gawaza Brain

#Young Leader



.

0 comments:

Post a Comment