Sunday, July 12, 2020

JE, wajua hizi ndio VIBAO hutumika katika BATIKI za KUPRINT - 0684 863138







MALIGHAFI ZITUMIKAZO KUTENGENEZA BATIKI AINA ZOTE



1.  Caustic soda

2.  Sodium hydrosalphate

3. Maji safi

4. Rangi aina mbalimbali za batiki

5. Sponji na maker pen au chaki

6. Meza ya kukunjia vitambaa

7. Vitambaa vyenyewe ( cotton)

8. Parafin wax kwa ajili ya batiki ya mishumaa

8. Kamba za batiki za tie and die.



Kuwa makini. Na mchanganyiko huo vaa mask na gloves unapokuwa una changanya.





CC : @Gawaza_brain

"Kazi yetu kuelimisha"

EMAIL : mgawaza12@gmail.com

PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.

©2020

.

#Gawaza Brain

#Young Leader

0 comments:

Post a Comment