Wednesday, July 8, 2020
Home »
» SIWEZI KUSAHAU : Kwa mara pili nilipopewa NAFASI ya KUFUNDISHA UJASIRIAM...
SIWEZI KUSAHAU : Kwa mara pili nilipopewa NAFASI ya KUFUNDISHA UJASIRIAM...
MASHINE ZA CRISPS ZA VIAZI, NDIZI, MIHOGO
A) MASHINE KUBWA
Bei yake elfu 25 tsh ( 25, 000/=)
Sifa zake
- Inakata crisps size za aina 8. Ina Adjastable ambayo inazungusha kisu kupata size.
- Ina Regulator kwa ajili ya kuzungusha kisu.
- Ina Handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia. Inakata viazi, ndizi, mihogo, nyanya, vitunguu, karoti, Matango.
B) MASHINE NDOGO.
Bei yake elfu Ishirini tu Tsh (20,000/=)
Sifa zake
- Inakata crisps size za aina moja tu. Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.
JINSI YA KUZIPATA
Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine hapa Tabata Mwanannchi.
Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.
Mikoani zinatumwa, huko kwa njia ya basi. Na mashine inalipiwa kabisa. Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.
NAMBA ZA MAWASILIANO
0684-863138 ! 0753-286313 ! 0718 -567689\
/
0 comments:
Post a Comment