Thursday, July 9, 2020

Sabuni ya KIPANDE - jinsi ya kufanya Sabuni kuwa Ngumu - 0684 863138







TUNASAMBAZA MALIGHAFI AINA ZOTE.

Hello wajasiriamali, karibuni sana.

Hakika changamoto ni nyingi sana katika kupata malighafi za kuunda na kutengeneza bidhaa tofauti tofauti za viwandani.
........................................
Mimi, Mohammed Gawaza (Young leader ) kupitia taasisi yetu ya #GAWAZA BRAIN sasa tumeanza kutoa huduma ya kusambaza na kuuza malighafi kote nchini na nje ya Tz.


Tunachohitaji kwa mnunuzi.
.......................................
Jina lako?
Kitambulisho chako?
Mahali ulipo? (Mkoa , wilaya)
Majina ya malighagi na kiasi husika?
Siku na tarehe unayohitaji mzigo kukufikia?
........................................

FAIDA ZA HUDUMA HII

Huduma hii, itawasaidia wajasiriamali wengi .

1. kutokana na kuibiwa kwa bei kubwa wanazouziwa watu mikoani.

2. Utajua Malighafi kwa majina kabisa hata kama hukuwahi kutumia.

3. Itawasaidia kutopeteza muda mwingi sana, katika kuagiza.

4. Itaondoa shaka kwa wajasiriamali, kwani utakuwa na uhakika kwa mtu uliyemwagiza.

........................................
Mawasiliano yetu

Tupo kariakoo gerezani na Ubungo mawasiliano.
(Gawaza brainl

Tupigie.
0684-863138 whtsp
0718-567689 whtsp
0753-286313
0620-320597
Email : mgawaza12@gmail.com
Instagram : Gawaza_brain
Youtube : Gawaza Brain
........................................

0 comments:

Post a Comment