Friday, July 10, 2020

UNIVERSAL MILL MACHINE - mashine ya kusaga viungo mbalimbali







UNIVERSAL MILL MACHINE

Ni mashine ya kusaga spices ( viungo) mbalimbali.

Ina uwezo wa kusaga vitu kama hivi...

Mtama. Mahindi. Kahawa. Ukwaju. Ubuyu. Karafuu. Vitunguu. Viazi lishe. Mbegu za maboga. Mbegu za ulezi. Katosi. Mdalasini. Liwa. Manjano na vingine vingi.


Mashine hii. Ina uwezo wa kutengeneza Peanut butter na Unga lishe na majani ya chai, viungo mbalimbali.

BEI ZA MASHINE NA UKUBWA WAKE

- Inayosaga mpka kilo moja.
- Bei yake laki nne na nusu ( 450,000)
- Inapatikana kwangu tu. Kwa bei hyo.


KWA MAHITAJI YA MASHINE HII.

Kwa walio dar es salaam aje hapa TABATA MWANANNCHI - mandela road.

Kwa walio mikoani. Mashine zitatumwa kwa njia ya mabasi, kwa walio Zanzibar kwa njia ya boti au meli.

NAMBA ZA MAWASILIANO

0684-863138 ! 0753-286313 ! 0718 -567689



0 comments:

Post a Comment