Thursday, July 9, 2020

MASHINE YA KUSAGA VIUNGO MBALIMBALI - UNIVERSAL MILL MACHINE

UNIVERSAL MILL MACHINE Ni mashine ya kusaga spices ( viungo) mbalimbali. Ina uwezo wa kusaga vitu kama hivi... Mtama. Mahindi. Kahawa. Ukwaju. Ubuyu. Karafuu. Vitunguu. Viazi lishe. Mbegu za maboga. Mbegu za ulezi. Katosi. Mdalasini. Liwa. Manjano na vingine vingi. Mashine hii. Ina uwezo wa kutengeneza Peanut butter na Unga lishe na majani ya chai, viungo mbalimbali. BEI ZA MASHINE NA UKUBWA WAKE - Inayosaga mpka kilo moja. - Bei yake laki nne ( 400,000) - Inapatikana kwangu tu. Kwa bei hyo. KWA MAHITAJI YA MASHINE HII. Kwa walio dar es salaam aje hapa TABATA MWANANNCHI - mandela road. Kwa walio mikoani. Mashine zitatumwa kwa njia ya mabasi, kwa walio Zanzibar kwa njia ya boti au meli. NAMBA ZA MAWASILIANO 0684-863138 ! 0753-286313 ! 0718 -567689







0 comments:

Post a Comment