Sunday, July 12, 2020

Hii ndio Rangi inayo tumika Katika BATIKI ZA KUPRINT - gAWAZA bRAIN - 06...











MALIGHAFI ZITUMIKAZO KUTENGENEZA BATIKI AINA ZOTE



1.  Caustic soda

2.  Sodium hydrosalphate

3. Maji safi

4. Rangi aina mbalimbali za batiki

5. Sponji na maker pen au chaki

6. Meza ya kukunjia vitambaa

7. Vitambaa vyenyewe ( cotton)

8. Parafin wax kwa ajili ya batiki ya mishumaa

8. Kamba za batiki za tie and die.



Kuwa makini. Na mchanganyiko huo vaa mask na gloves unapokuwa una changanya.





CC : @Gawaza_brain

"Kazi yetu kuelimisha"

EMAIL : mgawaza12@gmail.com

PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.

©2020

.

#Gawaza Brain

#Young Leader

0 comments:

Post a Comment