Monday, November 26, 2018

#MAFUNZO YA UJASIRIAMALI TRH 5-12/12/18 simu 0718-567689

Habari zenu wajasiriamali karibuni sana katika fani hii ya ujasiriamali, naitwa mohammed  Gawaza ni mwali na muhamasishani kuhusu maswala mbalimbali ya kijasiriamali.

Nimeandaa kozi maalumu ya kijasirimali amabayo itafanyika online kupita whtsapp na itaanza rasimi tarehe 5/12.2018 mpka tarehe 12/12/2018. kuta kuwa na massomo mengi sana kama vile ambayo tumetaja katika tangazo hapo chini.

Malipo yatafanyika kupitia namba za tigopesa ambayo ni 0718-567689  Na malipo yakakuwa kama ifuavyo , MASOMO yatagharimu elfu 6 tu, na kitabu kitagharaimu elfu 7 tu, na ikiwa mtu atataka masomo na kitabu atalipia elfu 9 tu kwa namba nizilizo zitaja hapo juu.
karibuni sana....
pia un aweza ukatazama video yetu ya tangazo kupitia channel yetu youtube kwa link hiyo hapo

 https://youtu.be/vw8525PEpu8


#MAFUNZO YA UJASIRIAMALI TRH 5-12/12/18 #JIUNGE 0718-567689

Habari zenu wajasiriamali karibuni sana katika fani hii ya ujasiriamali, naitwa mohammed  Gawaza ni mwali na muhamasishani kuhusu maswala mbalimbali ya kijasiriamali.

Nimeandaa kozi maalumu ya kijasirimali amabayo itafanyika online kupita whtsapp na itaanza rasimi tarehe 5/12.2018 mpka tarehe 12/12/2018. kuta kuwa na massomo mengi sana kama vile ambayo tumetaja katika tangazo hapo chini.

Malipo yatafanyika kupitia namba za tigopesa ambayo ni 0718-567689  Na malipo yakakuwa kama ifuavyo , MASOMO yatagharimu elfu 6 tu, na kitabu kitagharaimu elfu 7 tu, na ikiwa mtu atataka masomo na kitabu atalipia elfu 9 tu kwa namba nizilizo zitaja hapo juu.
karibuni sana....


Sunday, October 14, 2018

Wednesday, September 19, 2018

Tuesday, August 28, 2018

Saturday, August 18, 2018

Friday, August 17, 2018

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WATU WOTE ( *KWA SIKU 7* )

WHATSAPP ONLINE CLASS

*GAWAZA ENTREPRENUERSHIP GROUP*

Kikundi cha Ujasiriamali Chini ya Mohammed Gawaza



INAWALETEA MAFUNZO  YA UJASIRIAMALI KWA WATU WOTE DUNIAN ( *KWA SIKU 7* )



*KUANZIA TAR 01-09-2018  Hadi 08- 09 - 2018*

Ukumbi: WHATSSAP MG


*MAFUNZO YATAKAYOTOLEWA*

BIDHAA ZA VIWANDANI..

*Utengenezaji sabuni za Unga ( Detergent powder)

*Utengenezaji wa sabuni za nyanya ( Tomato soap)

*Utengenezaji wa shampoo ( shampoo making)

*Utengenezaji wa sabuni za kunawia mikono (Hand wash)

*Utengenezaji wa chaki ( School chalk)

*Utengenezaji Sabuni za Maji ( Liquid soap)

*Utengenezaji BATIKI

*Utengenezaji VIKOI

*Utengenezaji JIKI

*Utengenezaji Dawa za Kusafishia Vyoo na Masinki

*Utengenezaji Sabuni za vipande, Majivu, Magadi, NK.



JINSI YA KUSAJILI KAMPUNI NA BIDHAA MBALIMBALI

*Usajili wa jina la kampuni

*Usajili wa bidhaa maalumu

*Usajili ya kampuni binafsi

*Usajili wa kampuni ya watu kuanzia wawili

*GHARAMA ZA MAFUNZO HAYA YOTE NI ELFU 5*  (5000 Tsh)

*(Mafunzo Haya Yatakuwa Kwa Nadharia na kwa videos kupitia whtssap)*

*Semina hii itatolewa na Wakufunzi Maalumu*
   
   -Mohammed Gawaza
   -Jafari  Kamatia
   -Alphani mazudo.


*NOTE*

*USILALE MTANZANIA AMKA SASA,  JIUNGE TUTAMBUE FURSA PAMOJA*

ILI KUJIUNGA NA MAFUNZO HAYA..

TUMA TAARIFA ZAKO
 - Jina lako
- Namba yako ya whtsap
- Mahali unapoishi.
-Na sms ya uthibitisho wa malipo.

 KWA *NAMBA  ZIFUATAYO ZA MALIPO*

Mohammed Gawaza.
1. 0684-863138 -- Airtel
2. 0718-567689  --Tigo

*SEMINA HII NI SAWA NA BURE KABISA*
Thibitisha Ushiriki Wako Kabla Tar  29/8/2018 Mchana. 

*WOTE MNAKARIBISHWA SANA*

IMETOLEWA NA

#Gawaza Brain
#Mohammed Gawaza
#Young Entreprenuer
.....



" Young Entreprenuer "
        Gawaza Brain 

KITABU KIPYA CHA UJASIRIAMALI KINAUZWA 0684-863138

KWA maelezo zaidi nipigie namba yangu  , 0718-567689 au  0684-863138  Jina Mohammed Gawaza ni kizuri kwa lugha ya nyepesi ya kiswahili . Kina elezea mbao mengi sana kuhusu ujasiriamali jinsi ya kutengeneza bidhaa mbali mbali za viwandani.




Sunday, August 5, 2018

KAZI AMBAZO MOHAMMED GAWAZA mjasiriamali mbunifu huwa anafanya kila siku,


Mohammed Gawaza mwalimu wa ujasiriamali hapa baada ya kutengeneza sabuni ya unga na kuanza kuijaribu katika matumzi.. Ilikuwa ni maeneo ya sinza moli.


Mohammed Gawaza akiwa katika mafunzo kwa vitendo huko sinza moli maeneo ya horizon cpllages


Utengenezaji wa sabuni ya unga hadi raha kwa vitendo mwanzo mwisho




Baadhi ya wanafunzi wangu ambao walifanikiwa kufika eneo la tukio hilo hapo sinza moli



Baadhi wa wanafunzi wakishiriki katika mafunzo.


Kazi kazi hakuna mzee wala kijana hapa





Nasikia raha na fahari sana kuona nyuma yangu kuna watu kama mia 500 hivi wana nifatilia kwa kila ninacho kifanya kwa siku.

Friday, July 27, 2018

Friday, July 20, 2018

MALIGHAFI ZA SABUNI YA MICHE / MATERIALS by MOHAMMED GAWAZA


MALIGHAFI ZA SABUNI YA MICHE / MATERIALS



     Hizi malighafi ni kama mwongozo sabuni ndogo lakini unaweza ukazidisha kupitia hivi na kupata sabuni nyingi zaidi,
§  Caustic Soda   (450g )
§  Slec/ unga low  ( nusu kilo )
§  Pafyumu(Rose, lemon, kasablanka n.k )vijiko kadhaa
§  Sodium silicate
§  Maji safi chupa 4 za soda
§  Mafuta(mawese, mise, nazi, ubuyu)- (lita moja) na  Mashudu kiasi
VIFAA VITUMIKAVYO
§  Beseni/sufuria kubwa safi / Ndoo safi
§  Mwiko mrefu
§  Gloves
§  Mask
§  Kipimio 
§  Soap moulder

JINSI YA KUTENGENEZA

1)    Andaa beseni safi kisha mimina maji chupa 4 za soda.
2)    Weka Caustic soda 450g koroga mpaka ziyeyuke (Hii ipo katika hali ya chengachenga,ukiweka  maji yatakuwa yamoto hivyoutakoroga ili maji yapoe)
3)    Weka mafuta yako lita moja 1  na mashudu kisha koroga kwa dakika kadhaa.
4)    Weka sodium silicate kisha koroga tena kwadakika kadhaa mpaka upate uzito unaotaka
5)    Na mwisho utaweka sles/ unga low nusu katika mchanganyiko wako kisha koroga tena vizuri mpaka upate mchanganyiko mzuri zaidi na
6)    Kisha utaweka pafyumu yako vijiko 4-5 kutokana na harufu unayoitaka .
7)    Hapo utakuwa tayari umeshamaliza kutengeneza , kisha weka katika chombo(soap moulder)hapo utasubiri siku moja au 2 sabuni yako itagande naitakuwa tayari kwa matumizi.

MAANA KAMILI YA NENO SABUNI BY MOHAMMED GAWAZA


JINA LA MWANDISHI  : Mohammed  A. Gawaza
MAWASILIANO            :  0684-863138 / 0718- 567689 /  0743 - 214416
                 Email            :mgawaza12@gmail.com
                Youtube        :  Gawaza Online TV  ( G.O.T )
                Blog              : www.gawazabrain.blogspot.com
JINA LA KITABU      : MJASIRIAMALI MBUNIFU
JINA LA MAKALA   : UTENGENEZAJI WA SABUNI ZA MICHE / VIPANDE – BAR SOAP

SABUNI { SOAP }
Maana ya sabuni
            ni bidhaa ambayo hutumika kwa matumizi mengi sana katika jamii zetu husika, Ni bidhaa chache sana zilizo muhimu na hutumiwa sana kama sabuni .
Na hii imethibitishwa katika kila hatua yako ya maisha lazima utumie sabuni , utotoni ulitumia sabuni na mpaka sasa.
Tangu ilipotengenezwa kwa mara ya kwanza imeachwa kuwa ni bidhaa muhimu inayotumiwa kila siku.
            Mwana kemia mmoj aliwahi kusema katika karne ya 19 kwamba “ Utajiri na ustaarabu wa taifa huamuliwa na kiasi cha sabuni kinachotumniwa”




JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MICHE ( BAR SOAP) - 0718- 567689


JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MICHE
( bar soap)




 MAHITAJI YA MALIGHAFI.

(i)                Caustic soda
(ii)             Mafuta ya nazi,mise,mbosa au mawese au ya nyonyo
(iii)           Maji
(iv)           Pafyum
(v)             Hydrogen peroxide
(vi)           Chumvi kwaajili ya kuifanya sabuni nzitonaisiisheharak

VIFAA VINAVOTAKIWA
(i)  Mwiko mrefu – kwa ajili ya kukorogea.
(ii)                       Beseni au ndoo safi -  kwa ajili ya kuchangamnyia sabuni.
(iii)                    Kipimio – kwa ajili ya kupima vitu mbalimbali.
(iv)                     Maski – kwa ajilki ya kujikinga na chemikali.
(v)                        Gloves – kwa ajili ya kujikinga na chemikali pia.
(vi)                     Soap moulder – hii kwaajiliyakuipa shape sabuni.
JINSI YA KUTENGENEZA;
hatua ya kwanza;
Loweka caustic soda kilo tatu kwenye maji lita 9 na unapaswa kutumia chombo cha bati na sio cha plastic.Koroga kwa muda wa dakika 15 na acha kwa muda wa siku 5.
hatua ya pili;
Chagua aina ya mafuta mojawapo ambayo umeyapata na anza kuchanganya sasa.Changanya caustic soda1 na mafuta lita 1 na nusu.changanya na gryceline vijiko viwili vya chakula.pafyumu kijiko kimoja cha chai. Chumvi kijiko kimoja cha chakula.koroga kwa pamoja na uweke kwenye umbo na sabuni itakuwa tayari

Kama unataka maelezo kuhusiana na duka au maduka ambayo vifaa vinapatikana tuwasiliane kwenye

Mgawaza12@gmail.com au
Simu :   0684-863138
              0718-567689
              0743-214416
Mohammed Gawaza

 JINA LA MWANDISHI  : Mohammed  A. Gawaza

MAWASILIANO              :  0684-863138   /0718- 567689  /  0743 - 214416
               Email                  :  mgawaza12@gmail.com
                Youtube             :  Gawaza Online TV  ( G.O.T )
                Blog                    : www.gawazabrain.blogspot.com
JINA LA KITABU           : MJASIRIAMALI MBUNIFU
JINA LA MAKALA        : UTENGENEZAJI WA SABUNI YA KIPANDE .

Wednesday, July 11, 2018

Sunday, July 1, 2018

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUPITIA WHATSAPP TAREHE 07-07-2018.

JINA LA MWANDISHI  : Mohammed  A. Gawaza
MAWASILIANO             :  0684-863138 / 0718- 567689 / 0743 - 214416
               Email                   : mgawaza12@gmail.com
                Youtube             :  Gawaza Online TV  ( G.O.T )
                Blog                    : www.gawazabrain.blogspot.com

JINA LA KITABU           : MJASIRIAMALI MBUNIFU.

Kutakuwa na mafunzo ya ujasiriamali kuhusu kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani
hayo yatafanyika kufikia terehe 07-07-2018 mpaka tarehe 14-07-2018. 

usipange kukosa na yatafanyika kwa  njia ya whtsap ambapo video za mafunzo zitakuwa zikitolewa na malipo ni elfu 5 tu kwa kila mtu haya yote utayafahamu kama vile...

-sabuni za maji
-sabuni za vipande
-sabuni za unga
-shampoo na lotion
-windows cleaner
-sabuni za masinki
-class and tiles cleaner
-handwash na shower gel
-mafuta ya mgando na 
-mafuta ya nazi

Jikaze mjasimali kwani hii ni sawa bure

VIZURI VYOTE HUWA NI VYA YHAMANI NA GHALI SANA.

Imeandikwa lazima iwe ngumu ili wawe nayo wachache.
       Mohammed Gawaza



MAFUNZO YA UJASIRIAMALI VIA WHATSAPP - 0718-567689 ( 07-07-2018)







JINA
LA MWANDISHI  :
Mohammed  A. Gawaza
MAWASILIANO             :  0684-863138
/ 0718- 567689 / 0743 - 214416
              
Email                   :
mgawaza12@gmail.com
                Youtube             : 
Gawaza Online TV  ( G.O.T )
                Blog                    : www.gawazabrain.blogspot.com


JINA
LA KITABU          
: MJASIRIAMALI MBUNIFU.


Kutakuwa na mafunzo ya ujasiriamali kuhusu kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani

hayo yatafanyika kufikia terehe 07-07-2018 mpaka tarehe 14-07-2018. 



usipange kukosa na yatafanyika kwa  njia ya whtsap ambapo video za mafunzo zitakuwa zikitolewa na malipo ni elfu 5 tu kwa kila mtu haya yote utayafahamu kama vile...



-sabuni za maji

-sabuni za vipande

-sabuni za unga

-shampoo na lotion

-windows cleaner

-sabuni za masinki

-class and tiles cleaner

-handwash na shower gel

-mafuta ya mgando na 

-mafuta ya nazi



Jikaze mjasimali kwani hii ni sawa bure



VIZURI VYOTE HUWA NI VYA YHAMANI NA GHALI SANA.



Imeandikwa lazima iwe ngumu ili wawe nayo wachache.

       Mohammed Gawaza




Monday, May 14, 2018

Saturday, May 12, 2018

Mohammed gawaza


MOHAMMED GAWAZA Mjasiriamali



Saturday, April 21, 2018

1. LIQUID CLEANER ( SABUNI YA USAFI) MWANZO MWISHO 0684-863138




Hellow
Mambo niaje

Naitwa Mohammed Gawaza ni mjasiria mali mkufunzi mara nyingi
natumia muda wangu wa ziada ufanya shughuli za ujasiria mali. Na leo hii
napenda kushare nawewe kitu kimoja tu. Tuta lelezea kwa kina kabisa jinsi ya
utengeneza sabuni ya maji na ikawa poa kwa matumizi . Baki na mm hatua kwa
hatua mpaka sabuni ina amilika .



Na ahsante sana mpaka muda huu wewe ambaye umesha subscribe
kupitia youtube channel yagu GAWAZA ONLINE TV.









Thursday, April 19, 2018

Gawaza Fresh Food 0684-863138 0718-567689

Ubuyu wetu




GAWAZA FRESH FOOD

karanga za mayai

Mohammed Gawaza KARANGA ZA MAYAI NA UBUYU WA ZANZIBAR


Gawaza Fresh food ni wasambazi wa bidhaa mbalimbali za chakula ambavyo vimepikwa tayari kwa sasa tumeanza na usambazaji wa karanga za mayai na ubuyu wa Zanzibar kwa package ya shilingi za kitanzania 500= Tsh.
Mohammed Gawaza ambaye ni mjasiriamali na mwanzilishi wa channel ya ujasiriamali youtube inayoitwa GAWAZA ONLINE TV na blog yake ya kijasiriamali inayoitwa  GAWAZABRAIN.COM na ndiye muanzilishi vilevile wa hiki kikundi ambacho kinajihusisha kununua na kutengeneza na kupack karanga zao katika bidhaa zao za kila siku, Ambazo ni Karanga na Ubuyu.

Ikiwa ni katika mwanzo wa mchakato huu tupo bado kwa usambazaji na kutafuta masoko wa uuzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa hi.
Hivyo kwa mtu anapenda kuhusu hii biashara unaweza ukatucheki kwa namba za simu ziguatazo;
0684-843138
0718-567689
0743-214416

Link on yotube below

https://youtu.be/rp_NIlheQUE


Mohammed Gawaza
















Naitwa Mohammed Gawaza
Nimekuwa nkitumika kwa kiasi kingi kufundisha Ujasiriamali na vile vile nafundisha vitu sana hususani Utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani..


    - Sabuni za maji
    - Sabuni za vipande
    - Sabuni ya unga
    - Utengenezaji wa shampoo
    - Utengenezaji wa lotion mbalimbali n.k


Mohammed Gawaza profile MJASIRIAMALI MBUNIFU.



Mwandishi wa kitabu hiki ni MOHAMMED A. GAWAZA
Simu: +255 684 863 138 / +255 718 567 689 /+255 743 214 416
Barua pepe: mgawaza12@gmail.com
Facebook : Mohammed  Gawaza
Instagram: Mohammed  Gawaza
Twitter : @Mohammed  Gawaza












April 2018.
Mwandishi, Mohammed Gawaza amezaliwa mkoani Morogoro, wilaya Kilombero, mwaka 1995. Amepata elimu ya msingi hapo kilombero na akajiunga na akajiunga na sekondari ya msamala muslim seminary mnamo mwaka 2011 mpaka 2014 na kisha akaenda kusomea Science & Laboratoty technology  Dar es salaam, DIT.
Na mwandishi amejihusisha na asasi mbalimbali za kijasiriamali na hivyo akaamua kuandika hiki kitabu MJASIRIAMALI MBUNIFU kinachoelezea utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani mfano Sabuni ya kipande Unga, kipande, maji, za chooni na shampoo, lotion n.k.